[wanabidii] KWANINI HAKUNA WATANZANIA KATIKA Africa Progress Panel (APP) ?

Tuesday, August 27, 2013
Ndugu zangu ,
Tanzania na Watanzania kwa ujumla tumefanya mengi katika kuhakikisha afrika inakuwa moja na kujiletea maendeleo kwa njia mbalimbali kuanzia miaka ya 60 mpaka sasa hivi lakini yanapotokea mambo ya kiuongozi watanzania tumekuwa tunasahaulika sana kwa mfano hii inayoitwa Africa Progress Panel (APP) 
Kwenye orodha ya viongozi wake 10 hakuna Mtanzania hata mmoja au angalau hata mwananchi wa afrika mashariki .


Ni wakati wa kuamka tuache kushangaa shangaa mambo kama haya yanatupita na vikundi kama hivyo ndio vinavyofanya ushawishi kwa viongozi wetu na serikali zetu kwa ajili ya kuleta wawekezaji na kulainisha mambo mengine .


--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments