[wanabidii] Jamhuri lataja mapapa wauza 'unga'

Monday, August 19, 2013
Haya wakubwa, baada ya Jumanne iliyopita Gazeti la Jamhuri kudiriki kutaja wauza unga, na kutokana na mjadala uliojitokeza na ushauri alioutoa Mhe Zitto Kabwe, Jamhuri limeamua sasa kutaja mapapa wauza unga nchini.

Kesho, Jumanne Agosti 20, Jamhuri linataja mapapa wauza 'unga' wapatao 245.

Jina utakaloliona kwenye orodha hii, ni wale waliokamatwa na Polisi wakiwa na dawa zenye thamani kati ya milioni 10 hadi bilioni 9.5 kwa nyakati tofauti.

Wengi wapo ndani, lakini baadhi wamefanya mbinu, kama kawaida DPP akawaachia kwa Nolle.

Usikose nakala ya Jamhuri kesho.

Balile
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments