Nimepigiwa simu kadhaa toka kwa watu mbalimbali wakinijulia hali baada ya kusoma some post huko Jamii Forum kwamba nimevamiwa, kupigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana kuhusiana na case ninazoendesha kuwatetea Wanaharakati kadha wa kadha.
Nawapa pole wote waliostushwa na taarifa hizi.
Ukweli ni kwamba niko salama, nimerudi jana usiku tokea Tabora nilikoambatana na Joyce Kilewo Kiria.
Nitaendelea kufanya kazi zangu kama wakili kwa maadili ya uwakili bila hofu iwayo yote. Ninasubiri kupangiwa tarehe na Mahakama Kuu kanda ya Tabora kuhusiana na maombi ya marejeo niliyoyawasilisha baada ya uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tabora kuwa haina uwezo kutolea maamuzi hoja zetu za kisheria juu ya mashtaka yanayowakabili Henry John Kilewo na wenzake.
Siamini kwamba Tanzania kunaweza kuwa na utaratibu wa kuumiza Mawakili wanaotekeleza majukumu yao ya kisheria.
Post hii naitoa toka Mahakama Kuu Dar es Salaam ninakosubiria kuhudhuria case nyingine kwa mujibu wa majukumu yangu ya kila siku.
Viva Freedom.
Peter Kibatala,
Advocate.
-- Nawapa pole wote waliostushwa na taarifa hizi.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments