MWENDESHA Mashitaka Mkuu wa Serikali (DPP), alibadilisha mashitaka kwa makusudi kwa washitakiwa katika kesi dhidi ya Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara na mgombea urais , Idd Simba, hatua ambayo iliyosababisha Serikali kushindwa katika kesi ya wizi wa Tsh Sh. bilioni 2.4. za UDA, TSh. bilioni 8.4.matumizi mabaya ya ofisi, rushwa ya Sh. milioni 320 kutoka kwa Kisena ili auziwe hisa za UDA, malipo feki ya kazi za kitaalamu (consultancy fees) gharama ya Sh. bilioni 22 kutoka UDA na Sh. bilioni moja kutoka Kisena ili auziwe kampuni hiyo ya mabasi ya umma.
habari hizo zinasema DPP alikataa mapenzekezo na ushauri wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini isibadilishe kifungu chochote katika mashita hayo kwa vile itawapa uwezo washitakiwa kufutiwa kesi kwa kukosa ushahidi wa kutosha na hali wanakesi ya kujibu, mawazo ambayo DDP aliyatupilia mbali kwa sababu zake anazozijuwa.
Kwa mujibu wa habari hizo kulikuwwepo na mvutano mkali kabla ya DDP kubadilisha mashitaka hayo, wananchi wengi mpaka sasa hivi hawaelewi ni fomula gani iliyotumika kufuta kesi hiyo na hali kuna ushahidi wa waziwazi kuwatia hatiani watuhumiwa na kurudisha pesa hizo za walipa kodi,.......hapa kuna mchezo mchafu wa rushwa umechezwa mbele ya macho ya TAKUKURU bila ya wao kumkamata DDP, hii nchi hakuna usawa wewe iba kuku utafungwa miaka karne moja lakini hawa wezi wakubwa wa mabillioni wanaachiwa huru kuendelea kula pesa za wizi ya mali ya umma kwa madaha kabisa.
-- habari hizo zinasema DPP alikataa mapenzekezo na ushauri wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini isibadilishe kifungu chochote katika mashita hayo kwa vile itawapa uwezo washitakiwa kufutiwa kesi kwa kukosa ushahidi wa kutosha na hali wanakesi ya kujibu, mawazo ambayo DDP aliyatupilia mbali kwa sababu zake anazozijuwa.
Kwa mujibu wa habari hizo kulikuwwepo na mvutano mkali kabla ya DDP kubadilisha mashitaka hayo, wananchi wengi mpaka sasa hivi hawaelewi ni fomula gani iliyotumika kufuta kesi hiyo na hali kuna ushahidi wa waziwazi kuwatia hatiani watuhumiwa na kurudisha pesa hizo za walipa kodi,.......hapa kuna mchezo mchafu wa rushwa umechezwa mbele ya macho ya TAKUKURU bila ya wao kumkamata DDP, hii nchi hakuna usawa wewe iba kuku utafungwa miaka karne moja lakini hawa wezi wakubwa wa mabillioni wanaachiwa huru kuendelea kula pesa za wizi ya mali ya umma kwa madaha kabisa.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments