Ndugu zangu,
Leo hii, katika siku yake ya kuzaliwa na hata kufikisha miaka 95 nimeona haja ya kuendelea na simulizi za Mzee Madiba. Kwanza kabisa niwape bashraf ya simulizi ( Bashraf ni sawa na mrejesho)
Naam, ikumbukwe, kuwa Mandela alifika Dar es Salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1962. Na wakati huo Mandela hakuwa Rais wa ANC. Rais wa ANC aliitwa Oliver Tambo.
Akitokea Dar es Salaam, Mandela Akafanya safari kwenda....Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/4020-simulizi-za-mzee-madiba-mandela-alimwokoa-mwajiri-wake-wa-zamani-uwanja-wa-ndege.html#.Ueeoj22CDTo
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments