Jamani. Tutafika kweli? Kwamujibu wa gazeti la Tanzania Daima Jwshi la polisi linatuhumiwa kumuua mtuhumiwa akiwa katika kituo cha polisi cha Osterbay jijini DSM. Inauma sana. Hii amri ya na "Mimi nasema wapigwe tu" ndo inaendelea kutekelezwa. Kama polisi ndo kunanuka hivyo tukimbilie wapi?
--Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments