[Mabadiliko] Leo Mchana Nitazungumza Na Wanafunzi Wa Tumaini University Iringa...

Friday, May 17, 2013
Ndugu zangu,

Leo saa saba mchana nimealikwa kuwa mmoja wa wazungumzaji kwenye hadhara ya wanafunzi wa Tumaini University( Iringa) kwenye Media Day iliyoandaliwa chuoni hapo.


Nitaongelea nafasi ya Social media katika kujenga jamii ya uwazi, yenye taarifa na maarifa na hivyo kupanua uhuru wa fikra, demokrasia na maendeleo ya kiuchumi ktk nchi. Nitagusia pia suala la maadili.

Maggid,
Iringa.
0754 678 252

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments