KUCHEKA NI AFYA JAMANI! LAKINI KILA AONYESHAE MENO ANACHEKA???
Ras Makunja na kicheko chake ...!
Wataalamu wa mambo ya afya wanasema kucheka ni afya! sijui kama kweli au lah?
Nchini india kuna vilabu vya kufanya mazoezi ya kucheka,pia katika nchi nyingi kuna wasanii wachekeshaji (Comedy)wanaofanya vituko kuwawezesha wanadamu wengine wacheke,inamaana kucheka ni tiba ya kuondoa fikira mbaya katika nafsi au? na wasanii wetu wa vichekesho nao ni madaktari.
Lakini tunajiuliza hivi kila anaeonyesha meno anacheka au? kama kamanda Ras Makunja wetu (pichani) juzi juzi alikua studio kupika nyimbo akafumwa akicheka sana sana kiasi ya watu waliokuapo pale walikua wakijiuliza hivi kicheko cha kamanda meno nje! ni kicheko kweli au ? tukae mkao wa kula kusikia ujio wa vitu vipya kwa siku za usoni.
lakini acha tuendelee kupata raha za wikiendi at ffu camp www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments