[wanabidii] QUESTIONNAIRE

Sunday, March 10, 2013
Wadau,

Ninafanya utafiti kuhusu ubinafsishaji(LEGAL AND REGULATORY FRAMEWORKS FOR PRIVATIZTAION: THE CASE OF THE TEXTILE SUB-SECTOR)

Niliwahi kutuma hii hojaji lakini sikufanikiwa kupata mrejesho. Nilitumia watu wachache kwa kutumia anuani zao binafsi. Lakini kutokana na michango inayohusu masuala mbali mbali yanayotusibu kama nchi, nimegundua kuwa kuna hazina kubwa  ya uelewa, na hata mitizamo.

Kwa sababu hiyo, ninawaomba wale watakaoweza, watizame hojaji hiyo, inawezekana ikaonekana ni ndefu, lakini itasadifu kama utajibu yale tu unayoona unaweza kujibu, sio kila swali. Hojaji hii ina lengo la kupata maoni ya wananchi jinsi wanavyoitazama sera ya ubinafsishaji. Naomba ikiwezekana nipate majibu haya ndani ya wiki moja kupitia anwani yangu binafsi(mjlugaziya@mail.com)

Nitashukuru sana.  

MJL

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments