[wanabidii] ASEMALO LUDO, MODERATOR INAWEZEKANA!!!!ASEMALO KAYONGA NI KWELI

Friday, March 15, 2013
Ndugu wana mabadiliko,nimeamini hata tufanye nini mabadiliko hayatukuwepo kwa kuwa ni woga hasa pale mnapoona mtu anachangia kwenye vitu mbalimbali na kumuona kama vile ni THREAT!Huu ni ushahidi tosha hasa pale watu wanapoonekana kuchangia kwa hoja nzuri na zenye kuonyesha uelewa katika masuala mtambuka.
Kumetokea hapa masuala ya Kukashifu kanisa RC,na ilipoonekana kabisa kuna watu wanajua na kuelewa mambo mbalimbali basi inaonekana hao watu wanasupportiana kumbe ni mtiririko wa ideas na elimu sana katika hilo.Je,tuseme kama wakija MaDr.humu wa magonjwa ya watoto na kutoa hoja sawa je,nao ni mtu mmoja.Nimesema humu mara kwa mara kuwa Ludo na Mie(Kiba),tumelelewa vema na kuwa na OBJECTIVE teachings hambazo hazina ubaguzi wa dini,siasa,utu,maadili,falsafa na mambo mengine ambayo tangu mwanzo tumewaelezea historia zetu wote.Mmoja kafukuzwa,mwingine kaacha mwenyewe.
Nimekuwa nijibu hoja za LLK na Chambi kwa kutokuwa makini katika kupanga hoja zao,na pia namna Chambi anavyoleta mambo ambayo si ya kujenga kwa kuwa hayana manufaa yoyote katika mabadiliko.
Tujifunze kutokuwa na hofu na hoja za watu walio na uelewa mbalimbali za kielimu.

Basi,napenda kusema kuwa tangu wiki iliyopita,nimefungiwa kule MABADILIKO na nimejitahidi kuwatafuta na kila mara inakuja ujumbe wa kuwa Automatically delivering messge kuwa nimefungiwa.Moderator anajua kabisa.Nafikiri chanzo ni hoj zangu na Ludo kufanana jambo labda linalowastua MOD.Ila pia nahisi kuwa Chambi anamkono wake humu na LLK maana ndiyo wao nilikuwa nao kwenye mijadala hasa ile iliyoonekana kuwa na pumba nyingi(maana yake si mizito na ya kujenga)
Humu pia,naomba niseme;
1.Alilosema Kayonga ni sahihi kabisa na mie siyo Ludovick Joseph na wala si Deogratias Kayonga bali mie ni Kama ninavyoonekana kwenye profile yangu hapo.
Asante kwa kupata nafasi hii hasa baada ya Ludo Joseph kuona Pacha wake hayupo,SI KWA DAMU bali kwa ROHO....Roho ambaye ni ELIMU...ha ha ha ha ha!!
Moderator,nirudishe kule MABADILIKO PIA....Na unipe masharti ya kuwa humo ndani ili niishi vema na kuchangia,kurekebisha pale penye makosa ya kihoja,nitakubali kukosolewa.

Nawasilisha;
Kibambizi
- show quoted text -

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments