Jee wewe ni mwandishi na unapenda kuandaa kitabu lakini hujui utafanyaje? Pata ushauri wa mwandishi mahiri na mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara ambaye amefanikiwa kuuza nakala 5,000 za kitabu chake. Atakufundisha namna ya kuchagua jina la kitabu linalovutia, kuandaa mswada, kuchapisha kitabu, na jinsi ya kutangaza na kuuza kitabu chako. Pia atakupa mbinu za kuandaa na kuuza kitabu chako hata kama huna mtaji wa kutosha
Gharama ya ushauri ni sh. 20,000 tu. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0755394701
MSHAURI WA BIASHARA NA MTUNZI WA KITABU CHA MBINU ZA BIASHARA
http://www.squidoo.com/
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments