[wanabidii] Shamra SHamra za Chama cha Mapinduzi @ 36

Sunday, February 03, 2013
Ndugu zangu

Nimetembea kuanzia Chalinze mpaka ubungo leo nimekutana na Shamra
shamra nyingi za CCM kutimiza miaka 36 toka kuanzishwa kwake .

Hili ni jambo la kujifunza kwa vyama vingine vya siasa nchini haswa
vya upinzani , jinsi chama hiki dume kilivyoenea na kilivyokuwa na
wasuasi wa aina mbalimbali kuanzia vijana , watoto , wazee ,
vikongwe , watu wenye ulemavu , masikini kwa matajiri , wasomi kwa
watu wa kati na wote kwa ujumla .

Katika yote jambo muhimu na pengine la kujivunia kuliko yote kuhusu
CCM ni hii historia ya kuanzishwa kwake ni Muungano wa vyama viwili
tawala kile cha Zanzibar ASP na TANU ya Tanganyika na hapa ndipo
tunakuja kwenye ile kauli ya Bila CCM Imara nchi inayumba .

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments