[wanabidii] JE KWA WARAKA HUU WAUWAJI WA FR. MUSHI NI KINA NANI?

Tuesday, February 19, 2013
Kwa waraka kama huu mtu bila kuwa na akili ya ziada unaweza kutambua kuwa ni akina nani wamehusika na auwaji ya Mpendwa Mtumishi wetu wa Mungu Fr. Evarist Mushi. Mungu ailaze pema roho yake katika enzi yake. Damu yake iwe juu yao na watoto wao.RISASI PADRI MUSHI HUKO ZANZIBAR



 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments