
!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!
SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA JUKWAA LA WAZI LA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MTOA MADA NI WAHITIMU WA CHUO CHA MAFUNZO YA JINSIA
MADA: TAARIFA ZA VIKAO VYA BUNGE: JE, NI HAKI YA KIKATIBA KWA WANANCHI?
Lini: Jumatano Tarehe 20/02/2013
Muda: Saa 09
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
0 Comments