DR.NCHIMBI USIPALILIE FITNA ZA KIDINI ZANZIBAR
Juu: Dr Nchimbi akilaaniwa na Wazanzibari kwa kutoa hukumu
kabla hata uchunguzi wa mauwaji hayajaanza!
Written by abdisalum // 18/02/2013
Tumesikia na kupokea kwa masikitiko makubwa kuuwawa kwa kupigwa risasi Padri wa Kanisa la Katoliki ka Beit-El- Ras, Fr.Evarist Mushi.
Hakuna anayependa kuona kifo cha namna hii, au kufurahia. Pia hakuna dini inayoruhusu hayo kufanyika.
Lakini tumeshangazwa sana kusikia kauli ya Waziri wa Mambo ya Nchi, Dr.Emmanuel Nchimbi kutoa hukumu kabla ya hata upelelezi. Nchimbi umesema kuwa tukio hili ni la kigaidi. Hapo tayari umeshaamua na kutoa fatwa. Sasa ina maana gani kusema kuwa upelelezi utaendelea au hadi kufikia kusema kuwa utaomba msaada w anje ya nchi ili kusaidia upelelezi?
Bwana Nchimbi, kisheria na taratibu za kazi hukutakiwa kusema hayo, na wallah ingalikuwa ni nchi inayofuata sheria — umma ungalikutaka ujiuzulu. Bahati mbaya sana umekuta umma wa Wazanzinbari umejaa ujinga, umbeya, usaliti na ushoga, plus na ule wa Watanzania ndio huo uliojaa ujinga wa kupindukia na hatimaye umeletwa huku kwetu Zanzibar.
Kwa nini useme ni 'ugaidi'. Kanisa linaamini kuwa waliofanya hayo ni UAMSHO (kwa sasa ndio chaka la kila mtu); lakini jiulize nini wasfu wa Kadinali huyu Evarist Mushi:
- Anza kutafuta background check yake — ukiachilia shughuli zake za 'kidini' na 'ucha mungu, alikuwa anafanya nini kengine hapa Zanzibar. Huko alikotoka, Moshi/Arusha alikuwa nani, na alikuwa anaishi vipi. Jiulize, juzi tu, Jumatano iliyopita alikuwa wapi, na kweli aliongoza misa pale Beit El Ras (Ash Wednesday); lakini hasa hasa alikuwa nani (who is Evarist Mushi): Hao intel wako, waanze kuchunguza lineS (leadS) hizi. Contacts zake za mwisho, kupitia simu za mkononi, mlahaka wake na watu n.k. Mimi sikufundishini kazi, lakini ukachero wenu naona una mushkeli, maana unalenga upande mmoja tu, kuwasaka masheikh, waislamu.
Je, haiwi kuwa ni hitilafu yake na waumini/wafuasi wenzake au jamaa zake.
- Wewe Nchimbi umeshaamua kuwa hilo ni tukio la ugaidi. Je, kama upelelezi utagundua, at last, kuwa ni 'financial dealings' au extra marital affairs kama 'sheikh fulani', utasemaje? Although report yenu haitosema hivyo. Inasema kama ulivyokwisha sema, maana you pre-emptied the investigation /outcome which is wrong. Basi nyote mmeilemea Zanzibar namna hiyo: Kikwete, said Mwema, wewe Nchimbi.
- Wewe Nchimbi umeshaamua kuwa hilo ni tukio la ugaidi. Je, kama upelelezi utagundua, at last, kuwa ni 'financial dealings' au extra marital affairs kama 'sheikh fulani', utasemaje? Although report yenu haitosema hivyo. Inasema kama ulivyokwisha sema, maana you pre-emptied the investigation /outcome which is wrong. Basi nyote mmeilemea Zanzibar namna hiyo: Kikwete, said Mwema, wewe Nchimbi.
- Angalia Dr.Nchimbi — Anna Makinda, spika wa Bunge, tumesoma kupitia magazetini, kuwa ametumiwa SMS za simu 600, zote za vitisho, matusi, kashfa n.k — mpaka sasa hatujaona polisi wala wewe kusema hata neno, na hii ni hatari zaidi na upelelezi wake hautaki Phd kama uliyonayo wewe. Maana TCRA — mamlaka ya mawasiliano TZ inayo data base yote ya simu za watu wote TZ. Ndio tuseme hawajulikani au hamtaki tu. Jamani hii biasness yenu, kutokutenda haki, ndio imetufikisha hapa. Akiuliwa muislamu mnakaa kimyaaaa; akiparuzwa hata mfagiaji wa kanisa, serikali yote inapiga kelele na kutetea 'haki itatendeka'.
- Tumeona mauwaji ya Geita ya waislamu – serikali yako Bwana Nchimbi imeruhusu wakiristo kuchinja wanyama (mbuzi, ngombe, kondoo, kuku n.k) kwa ajili ya matumizi ya binadamu, na kuuzwa public, kitendo ambacho hakuna nchi hata moja iliyoruhusu hivyo. Kenya mpaka leo wanaochinja wanyama for general public ni Waislamu, Uganda kadhalika, Ethiopia kadhalika, n.k kwengineko.
- Wakati wa ukoloni, Mngereza, Ujerumani – Tanganyika, pia waliokuwa wanaruhusiwa kuchinja wanyama kwa ajili ya kula – ni Waislamu. Nyie jamaa zangu wakoloni weusi mnakataa ukweli huo, na mmesababisha mauwaji kwa waislmu bila sababu kwa kitu ovyo kabisa. Kikwete anacheka, Mwinyi anacheka, na Said Mwema anakenua — hamna uongozi, hamna maamuzi — its' nonsense. Hebu mjiulize kama kweli mna akili — imeanza lini, imeanza vipi, nini motive?
Tatizo jengine kubwa ni kuwa wakiristo wahamiaji wanalazimisha mambo kwa nguvu hapa Zanzibar. Tujue kuwa kama ukiristo, umeanza hapa Zanzibar kwanza kabla ya Tanganyika.
Tatizo jengine kubwa ni kuwa wakiristo wahamiaji wanalazimisha mambo kwa nguvu hapa Zanzibar. Tujue kuwa kama ukiristo, umeanza hapa Zanzibar kwanza kabla ya Tanganyika.
Na hapa wapo wakiristo tena prominent — marehemu Daurado, Augistino Ramadhan, na wengine — na hawa mpaka sasa wanaishi na watu vizuri, hawabagui mtu, wala wao hawabaguliwi.
Ukimuona Augostino Ramadhan msikitini hadi hii leo huwezi kujua kama ni muislam au mkiristo; huvaa kanzu, kofia na koti na makbadhi — Adam Mwakanjuki kadhalika, iweje leo iwe hivi??
Mjue kuwa Zanzibar ina aina nyingi za dini na watu hawajawahi kugombana – kuna: Shia Ithnasheer, Hindu, Catholic, Anglican, Muslim Sunni, Ibadhi, zaroastrim (wale waliokuwa akiabudu moto, na mahekalu yao yapo pale Maisara, alipojenga Sh.Ali Hassan Mwinyi (Rais Mstaafu), wapo pia siku hizi wana-itikad mambo ya wahabbi/wahabbism, wapo hawa ahli tariqa n.k.nk.nk.
- Nchimbi, pamoja na doctorate yako nina hakika haya huyajui na sasa ndio ujue kuwa Zanzibar inahitaji respect/mutual respect yake — sio uje utumavie tu na kututukana kama paka wa mwituni. Sisi tuna nchi yetu, heshima yetu, adabu zetu, mila na desturi, busara zetu. Hiyo nafasi uliyonayo — mambo ya ndani tokea imeundwa, waasisi wake ni Wazanzibari, angalia chart ya tokea 1964 ilipoundwa, wazanzibari wamekaa hapo, na watanganyika wangapi wamekaa hapo. Ni Juzi juzi tu imeanza kubadilishwa na Kikwete. Unajua kwa nini?
Hiyo ni wizara inayotakiwa kushughulikia mambo zaidi ya dini na uhusiano wa watu na imani zao na hasa islamic affairs. Kikwete ndiye aliyepangua formula hii na akamuweka yule hayawani mmoja anaitwa Shamsi Vuai Nahodha, another mess iliyofanyika hapo. Mpaka wakati wa Mkapa, alikuwa Ali Ameir Mohammed. JK ndiye aliyeanza na yule check bob mwenzake Lawrence Masha, then Shamsi na sasa Nchimbi.
Hii wizara ilikuwa haiongozwi na mkiristo labda kidogo wakati wa Oscar Kambona, tena briefly tu. Nyerere alikuwa amemuweka Natepe etc etc. Ali Hassan Mwinyi pia amewahi kuwa Waziri hapo; ilikuwa ni mawaziri waislamu.
Tukisema nchi haina uongozi wala viongozi tunakusudia kusema kama haya, zile national ethos zinapuuzwa, na mtu kama Kikwete na timu yake.
Sasa, Bwana Nchimbi tumekusikia na tumeona unavyotuchimba mpaka uing'oe mizizi ya Zanzibar yote, na kanisa lichukue nafasi yake.
- Turudi nyuma kidogo, again, alipomwagiwa acid Soraga, hakuna kachero wala team ya inteligensia iliyokuja Zanzibar mpaka alipopigwa risasi padri, Mpendae — kwa kujitoa kimaso maso, na baada ya wananchi kulilia haki, ndio mkajifanya eti pia mnapeleleza kesi ya Soraga, na mnajua nini na nani alifanya, na kwa nini alifanya: sasa, kwa nini hamtaki kueleza umma hizo findings zenu. Wekeni ukweli wazi, ili kuondoa shaka – kanisa limeficha mambo mengi machafu, hatujui motive hasa za visasi hivi vinavyoendelea. Nyie dhana yenu ni Uamsho, pengine ni kitu chengine.
Siku za nyuma kidogo, kuna kada mmoja wa CCM alimwagiwa acid 2004/5 — CCM walitoa kauli wakasema ni CUF; lakini ukwlei ulipofichuka kuwa yule kada alikuwa na affairs na mke wa mtu – hapo kila mmoja alikaa kimya? (???). Nchimbi kama huijui Zanzibar wapo makachero waliobobea sana – sitaki kuwataja, lakini hata nchi za magharibi wanawategemea, wameshastaafu. Mmoja alikuwa waziri…mtafute.
Chanzo: Mzalendo.net
0 Comments