Baada ya mazungumzo ya aina mbalimbali Dr Aldin Mutembei alimpa Prof Wamba zawadi ya kitabu chake cha KORASI KATIKA FASIHI kama unavyoona katika picha .
Majina ya Waliosimama Katika Picha Kutoka Kushoto ni Adam Fungo , Mishy Singano , Adam Foya , Prof Wamba , Yona Maro , Dr Adam Mutembei na Moses Gasana
Tunashukuru wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kufanikisha Zaira hii ya Kumtembelea Prof Wamba Dia Wamba
--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
-- www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments