[wanabidii] Free Youth Sucess Seminars for students and school leavers

Friday, January 18, 2013
Dear all

IMED offers free one-day youth success seminars to Form IV and VI leavers.
The next seminar was scheduled at Tambaza High School tomorrow. Due to
reasons beyond our powers, we have rescheduled to 15 February 2013 at
Perfect Vision High School Ubungo, Behind Ubungo Plaza. The seminar starts
at 9 am and ends at 2pm. The youth only need to confirm with our Youth
Programs Coordinator, Aluti Nyenza 0712452757/0765 111100 or email:
nyenzajr@gmail.com, info@imedtz.org

We also carry our brief (2 hour) presentations on youth success to
secondary schools. You can arrange for such presentations to be scheduled
with Aluti as well, or Gobless Mwanga, our Business Dev Officer
0768690385. Slots are available from February onwards.

% Wazalendo,
%
% Napanda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha kuwa kutokana na maombi ya
% wanataaluma wengi kuwa mwishoni mwa mwezi desemba wanakuwa likizo.
% Hivyo basi TPN imesikiliza maoni hayo na tumeamua kuisogeza mbele siku
% hii
% ya wanataaluma Tanzania hadi mapema mwaka 2013.
%
% Siku na Mahali tutawajulisha hapo baadae, mambo yote yaliyopangwa
% yatafanyika.
%
% Kutokana na kusogezwa mbele nachukua fursa hii kuwafahamisha kuwa bado
% tunapokea maombi ya wanaotaka kutunikiwa tuzo; unaweza ukampendekeza mtu
% au
% ukajipendekeza mwenyewe , ambatanisha CV na ueleze ni kwa nini upewe au
% unayempendekeza apewe tuzo husika (soma email ya chin kwa maelezo zaidi).
%
% Naomba tuendelee kushirikiana na kupeana ushauri kufanikisha siku hii.
%
% Nawashukuru wote waliojitokeza kudhamini tukio hili na pia walijitokeza
% kuchangia mawazo kufanikisha siku hii.
%
% Makampuni yaliyojitokeza kudhamini ni pamopja na ya umma na binafsi.
%
% tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaosababishwa na kuahirishwa kwa
% tukio
% hili ,naomba tuendelee kushirikiana.
%
% Nawatakia wote kila heri ya kipindi hiki cha siku kuu za Krismasi,
% mapumziko na Mwaka mpya mwema 2013.
%
% Wanataaluma tuna nafasi ya kutumia taaluma zetu kuleta mabadiliko chanya
% kwa
% faida ya Taifa letu.
%
% Mungu awabariki wote, Mungu ibariki Tanzania.
%
% Phares Magesa
% Rais- TPN
% +255 784 618320
%
%
----------------------------------------------------------------------------
%
----------------------------------------------------------------------------
% -----
%
% Wazalendo,
%
% Napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha kuwa siku ya wanataaluma
% Tanzania
% itakuwa 28 Dec, 2012 kuanzia saa 8 mchana hadi usiku..
%
% Tunatarajia itafanyika katika moja ya hotel maarufu katikati ya jiji la
% Dar
% Es Salaam, ukumbi tutawajulisha baadae mara baada ya taratibu za awali
% kukamilika .
%
% Siku hii kutakuwa na mambo yafuatayo:
%
% 1. Mkutano wa mwaka wa wanachama wote ( wanachama wetu wote wa ndani na
% walio nje ya nchi mnakaribishwa sana kushiriki maana wengi kipindi hiki
% wanakuwa likizo, wale mnaopenda kujiunga na TPN pia karibuni)
% 2. Kongamano la wanataaluma wote kujadili mambo mbali mbali kuhusu
% Taifa letu na mwaka huu mad azote zitahusu Ujasiriamali na maendeleo ya
% Taifa, wasemaji watakuwa ni wafanyabiashara,
% viongozi wa kijamii na kiserikali, wanataaluma walio
% ndani
% nan je ya nchi, mnakaribishwa kama una taka kuwa msemaji.
% 3. Tuzo za mwaka kwa wanataaluma walio ndani na nje ya nchi waliofanya
% vizuri katika fani zao (Tiba, Elimu,Sheria, Sayansi na Teknolojia, Habari,
% Uchumi, Sanaa, Siasa n.k) na tuzo kuu ya
% Mwanataaluma wa Mwaka (Professional of the year Award)
% ambaye ataingie katika Hall of Fame ya wanataaluma wa Tanzania, mwaka Jana
% 2011 tuzo hii ilienda kwa Baba wa Taifa Mwl. Nyerere.
% 4. Pia kutakuwa chakula cha usiku na burudani ya kumaliza mwaka 2012
% na kuukaribisha mwaka mpya 2012 wanataaluma wote tujumuike pamoja
% tafadhali
% thibitisha ushiriki kwa kutuma ujumbe
% mfupi (sms au email) wenye jina lako kwa mratibu au Rais.
%
% Nawakaribisha wote tujumuike na kushiriki kikamilifu kwa hali na mali
% katika
% maandalizi ili kufanikisha siku hii kubwa ya wanataaluma Tanzania.
%
% Wale ambao mnaodhani mna sifa za kupewa tuzo mnaweza mkawasiliana na nasi
% moja kwa moja au kama kuna mtu unadhani ana sifa za kupewa tuzo hizo pia
% tutumie mapendekezo yako na wasifu wake. Mapendekezo haya yafike kabla ya
% tarehe 15, Dec 2012 ili kamati ya utendaji ya TPN iyapitie na kutoa uamuzi
% wa watakaotunikiwa tuzo hizo.
%
% Maoni na ushauri vyote vinakaribishwa, mnaweza kuwasiliana na walitajwa
% hapo
% chini.
%
% Nachukua nafasi hii kuwaomba wadau wetu wote mtakaopenda kushirikiana nasi
% katika kufanikisha siku hii kwa kudhamini au kufadhili matukio ya siku
% hii
% muwasiliane nasi .
%
% Mratibu Mkuu wa shughuli hii ni Bi. Maryam Marambo 0689 288919 , 0716 350
% 650 email: maryam_marambo@yahoo.com ; Maryam.marambo75@gmail.com
%
% Nawatakia wote kila la heri.
%
% Phares Magesa,
% Rais- TPN,
% +255 (0784/0713/0767) 618 320
% magesa@hotmail.com
%
% Richard Kasesera,
% Makamu wa Rais- TPN
% +255 767 777151
% rkasesela@gmail.com
%
% Mhe. Bi. Janet Mbene (MB),
% Katibu Mkuu - TPN
% +255 784 596 444
% maorchid@gmail.com
%
% Gervas Lufingo
% Mhazini- TPN
% +255 784 482597
% nasemaasante@yahoo.com
%
% Mtandao wa Wanataaluma Tanzania (TPN),
% Url: www.tpntz.org
% Email: president@tpn.co.tz
%
%
%
----------------------------------------------------------------------------
% ----------------------------------------
%
%
%


--
"Give your energy to things that give you energy.",

"Learn enough to begin and then learn as you go."


Dr. Donath R.Olomi
Chief Executive Officer
Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED)
Mwalimu House 7th Floor, Ilala
P.O. Box 35036 Dar es Salaam, Tanzania E-mail: info@imedtz.org, website:
www.imedtz.org
Mobile +255-754-296660

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Related Posts

0 Comments