[wanabidii] UCHOCHEZI WA CCM, GAZETI LA UHURU NA HATIMA YA TANZANIA

Wednesday, December 19, 2012
Chama cha Mapinduzi CCM, kinalazimisha kuleta machafuko nchini kwanini? Kinatengeneza Propaganda kila siku, na leo kupitia gazeti linalomilikiwa na Cha hicho limeandika kitu ambacho hakipo kabisa katika Maazimio ya kAMATI KUU YA CHADEMA yaliyosomwa hadharani jana. Someni attachement. Ifike Mahali tunapojadili masuala muhimu ya nchi yetu halafu watu wanajitokeza kufanya hivi tujiulize ni kwanini? Maswali mengine naawaachia wasomaji

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments