Wanabidii,
Polisi wamekuwa wanauwa mara nyingi na bila woga kuliko Wanajeshi. Cha ajabu mara zote ambao wamekuwa wakishatakiwa
na kufungwa ni wanajeshi tu huku wakiwaacha wenzao Polisi wakiendelea na sherehe ya mauaji ya raia wasio na hatia!
Je hii immunity ya Polisi kutoshitakiwa wameipata wapi?
0 Comments