Mimi na Familia yangu tunapenda kuwatakia maandalizi mema ya sikukuu za Xmas na Mwaka mpya wa 2013
Kwa wale tulioumizana katika mwaka huu wa 2012 samahanini sana na poleni sana , Tuangalie ya Mbele
Tuendelee kuwasiliana na kushirikiana katika mambo mbalimbali ili tuweze kuleta mabadiliko katika maisha yetu binafsi , Familia zetu na Nchi zetu kwa Ujumla .
Ahsanteni
Tuendelee kuwasiliana .
-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments