[wanabidii] Wanaofanya makosa ya uadilifu kazini washitakiwe

Wednesday, November 07, 2012
Nadhani sasa ni wakati wa kubadilisha baadhi ya sheria zetu. Moja ni hii inayowalinda MAFISADI wa mali za umma kwa kuingia mikataba mibovu kwa maslahi binafsi.

Mfano ni huu wa Mhando, nimesikia magazetini leo kuwa hatashitakiwa kwa kuingia mkataba kwa maslahi yake kwani hilo ni kosa la kimaadili tu. Hii inachangia sana viongozi wenye dhamana kuingia mikataba mibovu wakijua kuwa hawatashitakiwa.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Related Posts

0 Comments