[wanabidii] Wazee Wa Yanga Watoa Sababu Za Kutovaa Jezi Zenye “DOTI” Nyekundu Ya Vodacom - Mwanzo

Thursday, October 18, 2012

Club ya Yanga imeandika kwenye club yake kwamba Katibu wa Baraza la wazee wa klabu hiyo Mzee Ibrahim Akilimali ametoa ufafanuzi juu ya timu ya Yanga kutovaa jezi zenye nembo nyekundu ya mdhamini wa ligi kuu Tanzaniza bara kampuni ya simu ya Vodacom.

Akiongea na wandishi wa habari makao makuu ya klabu makutano ya mitaa ya Twiga/Jangwani, Mzee Akilimali amesema kamwe hawatakubali matakwa ya vodacom na TFF ya kuweka nembo yenye doa jekundu katika jezi za Yanga.

Ni afadhali hao TFF watufute katika ligi yao kama wataendelea kutulazimisha kuvaa jezi zenye nembo nyekundu, kwani tupo radhi kubaki kucheza michezo isiyodhaminiwa na Vodacom kama bao, ngumi, na mingineyo au hata kuhamia ligi ya visiwani Zanzibar ambako tutacheza bila vikwazo.


http://wotepamoja.com/archives/9082#.UH-V8Vina9c.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments