[wanabidii] VIONGOZI WA HARAKATI ZA ZANZIBAR HURU WAREJESHWA TENA RUMANDE

Thursday, October 25, 2012
"Kiongozi wa jumuia ya UAMSHO Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake sita wanao endesha harakati za Zanzibar huru au 
" ZANZIBAR KWANZA" wamefikishwa mahakama kuu Vuga Zanzibar ,na kufunguliwa mashtaka mengine manne mapya , 
mahakamani hapo yakiwemo ya kufanya vurugu za maksudi za kuhatarisha amani katika nchi , pia kuharibu mali za watu zenye thamani T SH 150 millioni.
TARIFA kamili itatolewa baadae" - Mzalendo. 


Share this :

Related Posts

0 Comments