[wanabidii] UNAFIKI WA CCM JUU YA DHANA YA DEMOKRASIA.

Wednesday, October 10, 2012
Imekuwa ni kawaida kwa CCM kusema vyama vingine havina Demokrasi, sasa kwakuwa huu ni msimu wa chaguzi upande wa CCM ningependa kujuwa fomu za kuwania Uenyekiti wa Taifa zinatolewa lini na wagombea wanaowania nafasi hiyo ni wangapi?

Pia si vibaya nikijuzwa na upande wa makamu mwenyekiti, katibu Mkuu na mweka hazina, naomba wale wapenda Demokrasia ndani ya vyama tuanzie hapa kwanza.

Chanzo: jf
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Related Posts

0 Comments