Asema askari waliomuhoji wengi ni kutoka Bara.
Ukombozi wa ZNZ sasa utazidi kupamba moto.
Awaomba Wabara wawaachie Waznz wawe huru kama kabla ya 1963
Kwa zaidi, msikilize mwenyewe ana kwa ana na mwana-habari Salma Said.
...bin Issa
Daily East African News Updates
0 Comments