[wanabidii] KICHAA CHA MBWA

Monday, September 10, 2012
Ugonjwa wa kichaa cha mbwa ni ugonjwa hatari sana unaoweza kumpata mtu
yeyote yule awe mfugaji wa mbwa na paka au asiwe mfugaji wa wa mnyama
yeyote kati ya hao hasa kwa nchi yetu ambapo mbwa nap aka huachiwa
waishi wanavyo taka. Na hii inafanya watu wote tuwe katika mazingira
hatarishi ya kuumwa na mbwa au paka wenye ugonjwa au wasio na ugonjwa
wa kichaa cha umbwa. Wasipokuwa nao ni habari njema lakini wakiwa nao
ni habari ya kusikitisha kwani ukiumwa na mbwa au paka mwenye ugonjwa
na kwa bahati mbaya ukaanza kuonyesha dalili basi kupona kwakwe huwa
ni majaliwa ya aliyekuumba.
Kwa sababu hiyo ni vema kujua dalili zake, na jinsi ya kukabiliana na
ugonjwa huu ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa watu wanafuga mbwa nap
aka na nini cha kufanya ukiumwa nap aka au mbwa. Soma hapa
http://achengula.blogspot.com/ ili ujielimishe zaidi.

--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
*To all the questions of your life YOU are the most possible answer. To
all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself*

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments