Dua hii ni bora kuliko yote yaliyofanyika tokea filamu hiyo itengenezwe,
dua hii ni bora kuliko hata maandamano, vurugu n.k
dua yenyewe ni kama ifuatavyo
....................Ee Mola tunakuomba uwape akili tambuzi wale wote walioshiriki kutengeneza filamu hiyo
watambue kuwa walichokifanya sio kizuri na sio busara, pia uwabadilishe kama sio wawo basi vizazi vyao
vije kuwa wachamungu .........insh a llah
Dua kama hiyo aliwahi kuiomba Mtume katika mji wa Twaifa na ikafanya kazi, tena baaada ya Mtume kupigwa sana.
hizo ndio dua za wacha mungu
0714-14 25 25

0 Comments