Staff mailing list
Staff@tgnp.org
http://tgnp.org/mailman/listinfo/staff_tgnp.org

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII Prof. Marjorie Mbilinyi na Geofrey Chambua WATAWASILISHA
MADA:Jinsia na Kilimo Katika Muktadha wa Kibepari: Bajeti ya Kilimo na Chakula
Lini: Jumatano Tarehe 22/8//2012
Muda: Saa 09
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
0 Comments