[wanabidii] (Wanabidii) Asilimia 95% ya Wabunge kuangushwa 2020,hii nikutokana na Ma-DC na Ma-RC kuchapa kazi majimboni zaidi yao

Friday, August 25, 2017
Salaam Wanabidii
Utafiti wetu umeonyesha kuwa  95% ya Wabunge wasasa wataangushwa 2020,hii nikutokana na Ma-DC na Ma-RC kuchapa kazi majimboni zaidi yao.

Yaani unakuta wananchi wanamfahamu zaidi DC au RC kuliko Mbunge wao.

Nawaklilisha
 
AMON MKOGA
Mdau wa Maendeleo Mwandamizi
0755 638 004/0655 638 004
DAR ES SALAAM
TANZANIA

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments