[wanabidii] NINI MAANA YAKE: MALOFA NA TANZANIA MPYA?

Thursday, August 17, 2017



Kama kuna watu wanaweza kujadili basi jadili hili.
Wakati wa kampeni za uchaguzi 2015 Upinzani ulizindua kampeni zake kwa kusema wanataka kuikomboa Tanzania.

Katika kuzindua kampeni za chama tawala kiongozi mmoja aliwaita wanaosema Tanzania inahitaji ukombozi ni malofa na wapumbavu. Alijenga hoja yake katika ukweli kuwa Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961.

Sasa kila mara tunakutana (kwenye vyombo vya habari) na neon "TANZANIA MPYA".
Basi jadili.
Elisa Muhingo
0767 187 507
 
--




Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.










Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments