MKUTANO WA WATANZANIA UJERUMANI,JUMAMOSI 13.05.2017 MJINI ESSEN
Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.V unapenda kuwaalika watanzania wote wanaoishi Ujerumani (TANZANIA DIASPORA) kwenye mkutano mkuu wa umoja wetu 2017. Mkutano wetu mkuu utafanyika Siku ya Jumamosi, terehe 13.05.17 saa 13:00 Mchana katika Address ifuatayo
Bob's Cafe,
Altendorfer Straße 375
45143 Essen
Ili kufanikisha mkutano wetu tunawaomba watanzania kufika kwa wingi mno, mkutano huu ni muhimu sana kwani kuudhuria kwenu ndio mafanikio ya umoja wetu na mafanikio yako wewe mtanzania unayeishi hapa ujerumani . Umoja wa Tanzania Ujerumani ( UTUe.V) ''Ndio mwavuli na Sauti ya watanzania Ujerumani''

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments