[wanabidii] MNAKARIBISHWA KATIKA SHEREHE ZA MAULID SEGEREA MWISHO 11 MACH 2017

Tuesday, March 07, 2017

MNAKARIBISHWA KATIKA SHEREHE ZA MAULID SEGEREA MWISHO
Siku ya Jumamosi 11-Machi 2017

ASALAAM ALAIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU
Ungozi wa Al Madrasat Rahman na Masjid Qubah Segerea mwisho,Dar unawakumbusha waumini kuwa ile sherehe ya Maulid ya Kumswalia Mtukufu wa darja Mtume Muhammad (S.A.W) kuwa itafanyika Jumaamosi ya wiki hii tarehe 11.3.2017 Segerea Mwisho jijini Dar es salaam.
RATIBA: Kuanzia Saa 4 asubuhi maulid ya Kina mama(wanawake).
Saa 10 alahsir Wanafunzi wa Madrasa watasoma Quran
Saa 2 usiku baada ya swalat inshaa Maulid ya jumuiya yakiongozwa na wanaume mnakaribishwa wote wasiliana nasi simu 0622617961 au 0712407032 kimataifa piga +255 622617961

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments