[wanabidii] Mafunzo ya kuwainua vijana kuwa wajasiriamali wakubwa

Thursday, January 05, 2017


Kampuni ya CPM Business Consultants wakubwa imeanzisha mafunzo ya ujasiriamali kwa vitendo ili kuwanua vijana na watu wote wanaotaka kuwa wajasiriamali wakubwa kwa kuwawezeesha kuanzisha na kukuza biashara zao. Tutawafundisha mbinu za kubuni biashara kama hawana biashara tutawajengea uwezo na kukuza biashara zao. Ili kuwawezesha watu wengi zaidi kujiunga na mpango huu tumefanya gharama nafuu ya ada ya uanachama ya sh. 20,000 kwa mwaka kujiunga na mafunzo haya.

UTARATIBU WA MAFUNZO YETU NI KAMA IFUATAVYO;

1 Mshiriki wa mafunzo yetu atalipia ada ya mafunzo sh. 20,000 kwa mwka. Mafunzo yatatolewa nchini kote kwa mtu m moja mmoja kwa vikundi, ana kwa ana, kwa posta na kwa barua pepe.

2. Mshiriki atafundishwa ujasiriamali. Pia atasaidiwa kubuni biashara anayotaka kuifanya na kujengewa uwezo ili kukuza biashara yake. kama ana biashara atajegewa uwezo wa kukuza biashara yake.

3. Atafundishwa mbinu za uwekezaji ambapo anaweza kupata faida ya asilimia 23% kwa mwaka.

4. Atapata mafunzo maalum katika ujasiriamali kama vile uandishi wa vitabu, ushauri wa biashara, kilimo na ufugaji wa kuku kwa gharama ya sh. 20,000 na atapewa huduma za ugani.

5. Atapata fursa ya kunuua na kusambaza vitabu vya mbinu za biashara sehemu ya 1 na 2 kwa bei ya sh 10,000 kila kitabu

6. Atapata fursa ya kujifunza mafunzo ya hali ya juu ya uwekezaji ambapo atakuwa na uwezo wakuishi bila kuishiwa . Mafunzo haya yatatolewa kwa wajasiriamali waliofikia ngazi ya kati kwa gharama ya sh. 300,000

7. Atapata fursa ya kuwwalika wengine kujiunga na mpango wa mafunzo haya na kupata sh. 5000 kwa kila mtu atakayemwalika au sh. 30, 000 kwa mtu atakaye mwalika akijiunga na mafunzo ya hali ya juu ya uwekezaji.

Kwa maelezo zaidi na kujiunga na mafunzo haya piga simu namba 0755394701

CHARLES NAZI

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments