[Mabadiliko] Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Unapokwenda Kuhutubia (2)

Saturday, October 08, 2016


Ndugu zangu,

Naomba nianze na tungo hii fupi...

" Sina sauti nzuri ya kuimba, siwezi kucheza muziki watu wakanistaajabia. 
Najua siwezi kuchora. Najua siwezi kuandika kitabu kikapata tuzo.
Maneno yangu si ya kurembesha sana, yanatoka moyoni.
Kipaji nilichojaaliwa si kikubwa na wala si cha upekee duniani.
Lakini, wote waliojaaliwa vipaji si sharti wang'ae wakaonekana."

Basi, tuangalie mfano wa viongozi na hususan kwenye siasa na kwa kumwangalia mwanasiasa. Duniani hapa siasa inahusu sana sanaa ya mawasiliano. Kwa mwanasiasa, kama huiwezi sanaa ya kuwasiliana na wananchi, basi, ni sawa na... Soma zaidi.http://mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/28126-sanaa-ya-kuhutubia-2-mambo-ya-kuzingatia-unapokuwa-jukwaani.html#.V_iN6PkrLIU

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at https://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye5CGEFsnUfqP%2BRT56T55mSHN8Hso6J4LZpFwg1x6MtL_Q%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments