[wanabidii] MeTL YAKANUSHA KUFICHA SUKARI, YAELEZA HALI HALISI

Thursday, May 12, 2016
Habari za mchana,

Tafadhali pokea CODES hapa chini, asante kwa ushirikiano.

Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) imekanusha taarifa ambayo ilitolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa kampuni hiyo imeficha sukari tani 2,990 katika Bandari Kavu (ICD) ya PMM iliyopo Vingunguti, Dar es Salaam.

Taarifa hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutembelea ICD na kukuta tani 2,990 ambazo aliambiwa kuwa ni mali ya Mohammed Enterprises jambo ambalo halikuwa na usahihi bali ni mali ya Tanzania Commodities Trading inayomilikiwa na Murtaza Dewji.

Kwaa mujibu wa Murtaza Dewji ambaye ndiyo mmiliki wa sukari hiyo amesema kuwa sukari hiyo iliingia nchini kwa kufata utaratibu wote kama jinsi inavyotakiwa na anashangazwa kwanini hakufatwa ili kutoa maelezo kuhusu sukari hiyo.

"Tulifuata taratibu zote zikiwepo mamlaka husika za nchi kma bodi ya sukari, Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) na vyombo vyote vya ulinzi na usalama," amesema Murtaza.

Akifafanua zaidi amesema kuwa sukari hiyo ilikuwa njiani kuelekea nchini Uganda na vielelezo vyote vipo lakini kutokana na uhaba wa sukari nchini, serikali iliagiza mzigo huo kubaki nchini na kuingiza sokoni ili kumaliza tatizo hilo ambapo ulitakiwa kuanza kuingia sokoni kati ya Mei, 12 na Mei, 13.

Aidha ameelezea kuwa ni jambo la kawaida kuagiza sukari kutoka Dubai kwani hutumia siku 7 pekee kufika nchini tofauti na sukari kutoka Brazil ambayo hutumia siku 50 hadi 60 ikiwa njiani hadi kufika nchini.

"Wafanyabiashara wote wanaojua biashara walioko karibu na Dubai hufanya hivyo na sisi sio wa kwanza kuagiza sukari kutoka kwa wauzaji wa Dubai," amesema Murtaza.

Pia Murtaza amewatoa hofu Watanzania kuhusu uhaba wa sukari kwa kusema kuwa tayari sukari imeagizwa na ndani ya wiki mbili kutakuwa na sukari ya uhakika nchini hivyo kuwataka kuondoa hofu iliyokuwapo hapo awali.

Kibali halali cha TFDA hiki hapa chini

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments