[wanabidii] TAZAMA MAHOJIANO YA FATEMA DEWJI NA DKT. TRISH SCANLAN KUHUSU SARATANI YA WATOTO

Tuesday, February 16, 2016
Habari za mchana,

Tafadhali pokea CODES hapa chini.

Muongozaji wa kipindi Educate, Empower and Inspired kinachorushwa na IBN-TV katika king'amuzi cha Dstv, Fatema Dewji-Jaffer.

Februari, 15 huadhimishwa Dunia nzima kama Siku ya Saratani ya watoto. Kila mwaka watoto 250,000  na vijana chini ya miaka 20 hupatikana na saratani. 80% ya hao hutoka nchi zinazoendelea, wengi wao hawajatambuliwa wala kutibiwa. Katika nchi zinazoendelea watoto  wengi wanakufa. Saratani ya watoto inatibika!

Ilikuwa ni heshima kubwa kwangu kupata fursa ya kumhoji Dr. Trish Scanlan ambaye anaendesha idara ya watoto katika hospitali ya Taifa ya ­Muhimbili. Tangu ajiunge mwaka 2008, pamoja na timu yake yenye ari kubwa ya madaktari na wauguzi wa Tanzania, viwango vya muda mfupi maisha ya watoto na kansa umeongezeka kutoka 12% hadi 60%.

Kuwa sehemu ya mpango wa kutambua Saratani duniani. Pamoja tulete umakini katika suala hili na kuhakikisha kwamba watoto kila mahali wanapata huduma bora za saratani utotoni. #worldwidechildhoodcancerday.

Tazama mahojiano kati yangu na Dr. Trish Scanlan hapa chini;

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments