[wanabidii] NMB yasaidia madawati shule mbili za msingi Dar

Monday, February 08, 2016
MAELEZO PICHA

IMG_0169-
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Grace Mtesigwa (kulia) msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 yaliyotolewa juzi kwa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

IMG_0032-
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Shule ya Msingi Upendo wakiimba wimbo kwa furaha mara baada ya shule yao kupokea msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam.

Picha pamoja Upendo-
Kutoka kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Upendo, Yusuph Zanny, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbezi Luis, Mwenyekiti Kamati ya Shule ya Shule ya Msingi Upendo, Phillip Kimaro, Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Grace Mtesigwa, Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo wakiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa walioshiriki kwenye hafla hiyo.

IMG_0246-
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kibwegere wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa msaada wa madawati 53 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka Benki ya NMB juzi jijini Dar es Salaam. Katikati pichani ni baadhi ya madawati hayo.

IMG_0121-
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kulia) akizungumza wakati wa hafla ya Banki hiyo kukabidhi msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kwa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB pia ilikabidhi madawati mengine 53 kwa Shule ya Msingi Kibwegere iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.






[caption id="attachment_67067" align="aligncenter" width="795"]<img class="size-full wp-image-67067" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/02/IMG_0169.jpg" alt="Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Grace Mtesigwa (kulia) msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 yaliyotolewa juzi kwa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB pia ilikabidhi madawati 53 kwa Shule ya Msingi Kibwegere iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam." width="795" height="600" /> Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Grace Mtesigwa (kulia) msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 yaliyotolewa juzi kwa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB pia ilikabidhi madawati 53 kwa Shule ya Msingi Kibwegere iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_67068" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-67068" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/02/IMG_0200.jpg" alt="Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Shule ya Msingi Upendo wakifurahia mara baada ya shule yao kupokea msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam. " width="800" height="448" /> Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Shule ya Msingi Upendo wakifurahia mara baada ya shule yao kupokea msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_67065" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-67065" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/02/IMG_0032.jpg" alt="Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Shule ya Msingi Upendo wakiimba wimbo kwa furaha mara baada ya shule yao kupokea msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam. " width="800" height="446" /> Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Shule ya Msingi Upendo wakiimba wimbo kwa furaha mara baada ya shule yao kupokea msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_67066" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-67066" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/02/IMG_0121.jpg" alt="Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kulia) akizungumza wakati wa hafla ya Banki hiyo kukabidhi msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kwa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB pia ilikabidhi madawati mengine 53 kwa Shule ya Msingi Kibwegere iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam." width="800" height="353" /> Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kulia) akizungumza wakati wa hafla ya Banki hiyo kukabidhi msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kwa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB pia ilikabidhi madawati mengine 53 kwa Shule ya Msingi Kibwegere iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_67069" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-67069" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/02/IMG_0246.jpg" alt="Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kibwegere wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa msaada wa madawati 53 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka Benki ya NMB juzi jijini Dar es Salaam. Katikati pichani ni baadhi ya madawati hayo." width="800" height="443" /> Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kibwegere wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa msaada wa madawati 53 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka Benki ya NMB juzi jijini Dar es Salaam. Katikati pichani ni baadhi ya madawati hayo.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_67070" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-67070" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/02/Picha-pamoja-Upendo.jpg" alt="Kutoka kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Upendo, Yusuph Zanny, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbezi Luis, Mwenyekiti Kamati ya Shule ya Shule ya Msingi Upendo, Phillip Kimaro, Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Grace Mtesigwa, Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo wakiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa walioshiriki kwenye hafla hiyo." width="800" height="456" /> Kutoka kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Upendo, Yusuph Zanny, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbezi Luis, Mwenyekiti Kamati ya Shule ya Shule ya Msingi Upendo, Phillip Kimaro, Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Grace Mtesigwa, Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo wakiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa walioshiriki kwenye hafla hiyo.[/caption]

___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments