[Mabadiliko] Habari Kubwa 3 Za Leo Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Mjengwablog.com

Thursday, January 07, 2016


1. TRA yakusanya trilioni 1.4 kwa mwezi Desemba..

Hii ni habari kubwa inayopewa nafasi ya kwanza na mtandao waMjengwablog.com. Inahusu pato la taifa. TRA inaelekea kufanya kazi njema na ya kupongezwa katika kukusanya mapato ya taifa. Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya nchi.

2. Magufuli kukabidhiwa CCM Juni

Habari hii inachukua nafasi ya pili kwa ukubwa. CCM ni chama tawala. Uenyekiti wa CCM ni nafasi muhimu. Ni jambo jemba jema Mwenyekiti wa sasa na Rais Mstaafu ameamua kumpa nguvu zaidi Rais Magufuli kwa kumwachia Uenyekiti CCM.

3. Chadema wakutana

Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo- Chadema, ni chama kikuu cha upinzani. Taarifa za Chadema kukutana Moshi zimevuta macho na masikio ya wengi. Bila shaka, baada ya uchaguzi mkuu, Chadema wanakutana kujipanga, na kutakuja na tamko au matamko yatakayotokana na vikao hivyo. Hii ni habari ya tatu kwa ukubwa leo.

Soma habari nyingine za ndani ikiwamo katuni bora ya leo. Ni kwenyehttp://mjengwablog.com

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at https://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye7A5jJRDrmnwiayBo%2BscVQVDKmFxoOJThTG0PpaD3cjQg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments