[wanabidii] SOMO KUHUSU UTALII: KUTOKA MGOGORO WA URUSI NA UTURUKI

Wednesday, December 02, 2015
Mara nyingi tumekuwa tunajadili mambo yaliyo mezani bila kuangalia chini ya meza.
Kuna mgogoro mkubwa kati ya Urusi na Uturuki. Naamini hawatakamatana kisjeshi.
Lakini hebu tuone:
Urusi imeiwekea vikwazo vya kiuchumi Ururuki kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi. Imewazuia warusi milioni 4.4 kwenda urusi na badala yake wataenda ujerumani.
tanzqania ijiulize Warusi milioni nne huenda kutalii uturuki kuona nini?? utalii ni kuona, Kupiga Picha, Kuwinda nakadhalika. Tunao mabalozi urusi na Uturuki. Kwanini tusijue kuna nini warusi hawa wanafuata na kukiweka hapa kwetu.
Tuna fukwe za bahari zinawoweeza kuwavutia warusi hao. nashukuru Koko Beach imekusudiwa kugeuzwa mahali pa watalii kupumzikia. Kama tanzania inajivunia watalii malaki wakati nchi moja inapokea warusi milioni 4 toka taifa moja. kama tukipata viongozi wasio watanuzi katika miaka kumi tanzania uchumi wake utategemea vitu vingi utalii ukiwa mmojawapo.
HILI NI SOMO KWA SERIKALI YETU. MABALOZI WASIFURSAHIE NCHI ZA WENZETU KUJENGWA BALI WAJIFUNZE ZILIVYOJENGWA. WALETE HUKU NASI TUANZE
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments