[wanabidii] PROFESSOR MUHONGO: WIZARA YAKO NI YA MADINI NA UMEME AU MADINI NA NISHATI?

Sunday, December 13, 2015
Kila inapotajwa neno nishati hapa Tanzania naona kila mtu anakimbilia umeme au TANESCO. Niliwahi kuandika humu maneno ninayotaka kuyarudia na waziri mhusika akanisakama.
Watanzania zaidi ya 95% wanatumia Mkaa kupikia. Wanaotumia umeme hawafiki 5%. Lakini kila neno nishati likitamkwa watu hukimbilia kufikiri lina maana ya umeme. Najua kupitia REA serikali inajitahidi kufikisha umeme vijijini. Lakini bado umeme huo sanasana unakwenda kuwasha taa na kuchaji simu.

Ninakubaliana na Professor Muhongo kutembelea TANESCO mara baada ya kuapishwa. Ni sehemu ya watanzania bila shaka. Lakini mimi nafikiri Muhongo hata kwa kuzingatia usomi wake anastahili kuja na mkakati mpya.
Vyanzo vya nishati haviwezi kuishia katika umeme unaotumiwa na watu wachache sana. Kwanza itachukua muda umeme huo kuanza kutumika kwa matumizi makubwa. Mpaka bei ishuke watu waweze kumudu sio leo.

Lakini Tanzania ina vyanzo vingi vya nishati ambavyo ni muhimu kuviangalia.
Tuna mavi ya ng'ombe ambayo ni chanzo muhimu cha nishati ya biogas. Tuna jua linawaka masaa 12 kwa siku mwaka mzima. Na maeneo mengi.
Kufumbia macho ukweli kuwa asilimia kubwa ya watanzania wanatumia mkaa na kwa hiyo wanaharibu mazingira kutalitumbukiza taifa katika mgogoro wa kukabiliana na matokeo ya uharibifu wa mazingira. Nashauri mikakati ifanywe kuhakikisha tunajielekeza katika kulisaidia taifa kwa kutafuta nishati mbadala. Inawezekana kwa kuacha kuendelea kuutaja umeme huku tukiharibu misitu. Badala yake tujiulize misitu inaharibika kiasi gani na tunafanya nini kurekebisha hali hiyo. Ni wizara hii inayostahili kuwekeza katika technologia ya majiko bora yanayotumia mkaa au kuni kidogo. Ni wizara hii inayostahili kulia na serikali kupunguza kodi zinazotozwa kwenye vyanzo vya nishati mbadala kama solar panel na biogas. Ni wizara hii inayostahiliu kutafuta mipango ya kushirikiana na wizara zingine kama Maliasili na utalii na ofisi ya makamu wa rais-mazingira ili wote kwa pamoja waliokoe taifa.
Nashauri tu.

Sent from my iPad

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments