[wanabidii] PROFESSOR MUHONGO: TUSIMPONDE WALA KUMPENDA KWA USHABIKI

Friday, December 11, 2015
Jana tarehe 10 December 2015 Rais Magufuli ametangaza baraza lake la Mawaziri. Baraza ni lake, si letu. Kusudi kubwa limsaidie kutekeleza aliyokuwa anayatamka kwnye mikutano ya hadhara wakati akiusaka urais.
Tunayo haki ya kutoa maoni. Lakini ni maoni. Nakumbuka Rais Mkapa alipounda baraza la mawaziri la kwanza watanzania tulitoa maoni mpaka akambadilisha waziri Fulani.
Katika baraza alilolitangaza Magufuli Professor Muhongo ameongelewa sana. Wako wanaomponda na kumkosoa Dr. Magufuli. Wako wanaompongeza Dr. magufuli.
Maoni yote yana maana kwa Magufuli na Muhongo pia.
Katika kumjadili Muhongo na ili mijadala yetu iwe na tija tujitahidi kuondoa ushabiki.
Mimi katika kumjadili Muhongo sijashawishika kuwa Muhongo alikula Mulungula katika kashfa ya Tegeta Escrow. Ni kama Professor Anna Tibaijuka. Nimesikiliza crips kadhaa za hotuba za Muhongo bungeni. Nimemsikiliza Mbunge mstaafu machachali Sendeka. Nimemsikiliza sana Zitto. Sishawishiki kiasi cha kuamini kuwa Professor Muhongo alikula rushwa au alipanga kusaidia mkakati wa kufanikisha njama za kulihujumu taifa hili.

Nikimsikiliza Professor naona tatozo lake limelala hapa: Yeye ni mtaalamu wa taaluma yake. Anajivunia taaluma hiyo. Nakumbuka alipokuwa amebanwa aliwahi kuweka CV yake humu. Katika kauli zake pamoja na kubobea katika taaluma yake, HAONI JINSI ANAVYOWEZA KULISAIDIA TAIFA HILI KUFAIDIKA NA RASLIMALI GESI.
Katika moja kati ya clips zilizotolewa jana (https://www.facebook.com/mwanahapa/videos/10203763740413154/) professor Muhongo anaonyesha jinsi ilivyo vigumu kwa Mtanzania kushiriki utafutajhi na uchimbaji wa gesi. Anataja madollar mengi. Anaonyesha hakuna mtanzania mwenye mapene hayo. Haonyeshi kujua kuwa pamoja na wingi wa madola hayo gesi yenyewe ni mali ya watanzania na ina thamani kubwa kuliko madola anayoyatamka. Haonyeshi kuelewa kuwa hata wale wanaokuja na madolla hayo huenda wamesaidiwa na nchi zao. Hana formulary a kuwasaidi watanzania kushiriki uchimbaji wa gesi. Anachojua ni maPaper aliyoandaa baada ya tafiti nyingi na wazungu wanajua na anataka na sisi tujue lakini hajui namna ya kuwasaidia watanzania kuffaidi raslimali hii. Anatarajia tugawiwe na hao wanaokuja na madollar kuichimba gesi yetu. Hii ndiyo kasoro niionayo kwa Muhongo.
Kasoro hii ina madhara makubwa mawili:
Kwanza ni hatari mtu kufikiri hivyo. Nchi za kiarabu zimenufanka na mafuta. Sijui kwa nini hajaweza kutumia elimu yake kufanya itafiti na kuja na maneno yanayomtoka fluently akilisemea hilo. Katika maneno yake anajichafua kwa kuwatukana wabunge kuwa wamepata masurufu kwa 'mtu' ili waje bungeni wamdhalilishe. Hiyo ni kasoro maana angebanwa asingemtaja.
Pili nadhalia yake inapingana na kusudi la aliyemteua.
Nimesema mijadala hii inawasaidia mteua na teuliwa. Ninaamini Mteuliwa atajaribu kusikitishwa na matamshi yaliyo kwenye clip niliyoitoa na atajitahidi kutamka mengine ili mteua ajisikie vizuri. Hii itamsaidia Muhongo kutofanya sherehe aliyoitaja Magufuli.

Elisa Muhingo
0767 187 507

 >> --

 >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 >>

 >> Kujiondoa Tuma Email kwenda

 >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

 >> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 >>

 >> Disclaimer:

 >> Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

 >> for any legal consequences of his or her
postings,

 and hence

 >> statements and facts must be presented
responsibly.

 Your

 >> continued membership signifies that you agree
to

 this

 >> disclaimer and pledge to abide by our Rules
and

 Guidelines.

 >> ---

 >> You received this message because you are

 subscribed to the

 >> Google Groups "Wanabidii" group.

 >> To unsubscribe from this group and stop
receiving

 emails

 >> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 >> For more options, visit

 >> https://groups.google.com/d/optout.

 >>

 >> --

 >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 >>

 >> Kujiondoa Tuma Email kwenda

 >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 >>

 >> Disclaimer:

 >> Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility for any legal consequences of his or her

 postings, and hence statements and facts must be
presented

 responsibly. Your continued membership signifies that
you

 agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules

 and Guidelines.

 >> ---

 >> You received this message because you are

 subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.

 >> To unsubscribe from this group and stop
receiving

 emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 >> For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

 >

 >--

 >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 >

 >Kujiondoa Tuma Email kwenda

 >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 >

 >Disclaimer:

 >Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility for any legal consequences of his or her

 postings, and hence statements and facts must be
presented

 responsibly. Your continued membership signifies that
you

 agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules

 and Guidelines.

 >---

 >You received this message because you are subscribed
to

 the Google Groups "Wanabidii" group.

 >To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 >For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments