1. Magufuli amng'oa kigogo reli.
Hii ni habari iliyopewa uzito mkubwa karibu katika magazeti yote. Mtandao wa Mjengwablog.com unaipa nafasi ya kwanza kwa habari za siku ya leo.
2. Bomoabomoa Dar yasitishwa. Ni habari inayopewa nafasi ya pili na mtandao wa Mjengwablog.com.
3. Vijana Iringa wamkingia kifua Mwenyekiti wao wa Mkoa. Hii ni habari kubwa inayochukua nafasi ya tatu ni kwa vile, juzi tu kulikuwa na vijana mkoani Iringa waliowafungia ofisini Mwenyekiti na hata Mkuu wa Mkoa. Ni habari yenye kuvutia kwa vile ina sura pia ya mgogoro ndani ya siasa za Iringa hususan ndani ya CCM Mkoa. Iringa ni moja ya mikoa muhimu sana hapa nchini. Mtandao wa Mjengwablog.com inaipa habari hii nafasi ya tatu.
Usikose pia katuni bora ya leo na habari bora ya leo. Unaweza kuzisoma habari hizo kubwa tatu kwenye http://mjengwablog.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments