[wanabidii] BREAKING NEWS YA HABARI NJEMA KUTOKA KWA RAIS WA AWAMU YA TANO MH :JOHN POMBE MAGUFULI.

Thursday, October 22, 2015
BREAKING NEWS YA HABARI NJEMA KUTOKA KWA RAIS WA AWAMU YA TANO MH :JOHN POMBE MAGUFULI.

Baada ya Mgombea urais kupitia Chadema Mh Edward Lowassa a.k.a Mzee mamvi kushindwa kujieleza na kukiri kushindwa rasmi katika uchaguzi na kuahidi kurudi Monduli ili kuchunga ng'ombe zake na si kubaki kukijenga CHADEMA baadhi ya wanachama wa chama hiko wamakasirishwa na kauli hiyo hivyo wameanza kurudisha kadi na kutangaza kutompigia kura mgombea huyo.

Aidha, mahojiano hayo yalifanyika jana katika station ya BBC DIRA, kilichoongozwa NA mwanadada machachari ZUHURA YUNUS ambaye alimbana mzee mamvi mpaka akaomba poo kuwa asionewe kwa kuwa maswali yalikuwa magumu na yalikuwa nje ya uwezo wake wa kufikiri.

Vilevile katika hatua nyingine leo saa 3 usiku mara baada ya taarifa ya habari katka kituo bora cha Matangazo cha STAR TV kipindi cha BBC DIRA YA DUNIA atahojiwa tena Rais anayesubiri kuapishwa mh JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI akielezea namna atakavyotekeleza sera zake na kuipeleka Tanzania inayohitajika. Aidha, watanzania tulio wengi tutafahamu jinsi gani mh Rais MAGUFULI alivyokuwa Mtendaji na mwenye dhamira ya dhati na Taifa hili ukilinganisha na wagombea waliobaki.

Share this :

Related Posts

0 Comments