Hata mmi sikuyatarajia japo nakazana kuhakikisha Magifuli anashinda uchaguzi huu.
Siwezi kuyakataa kwa sababu sijafanya utafiti mwingine. lakini naukubali kwa sababu zilizo wazi.
Watanzania wanajua wanachotaka. Wanataka mabadiliko. mwalimu Nyerere alisema Watanzania wasipoyapata ndani ya CCM watayapata nje.
Sasa Watanzania wanaanza kuyaona yanapatikana ndani ya CCM. Hebu tuyapime matamshi haya ya wagombea ambayo yanawabadilisha watanzania:
1) ''Mimi nimeamua sitawajibu wanaonisakama. Naendesha kampeni kuleta mabadiliko na nina uhakika nashinda uchaguzi''. Hayo ni maneno ya Lowasa.
Wanaomsakama wanasema tuhuma lukuki akiwa waziri na kiongozi serikalini kwa myaka mingi. wanamjua utendaji wake. Wanamuangalia usoni na kuyapima haya anapokataa kujibu ili kujisafisha.
2) 'Kuna watu walipewa viwanda hawakuviendeleza. nasema kweli; nasema kweli; kweli kabisa. wasipoviendeleza wajiandae kuvirudisha''. Huyo ni Magufuli. Magufuli tunayemjua. Aliyewahi kumyang'anya naibu wake viwanja kwa sababu alivihodhi bila kuviendeleza. Aliyewahi kukamata samaki wengi baharini. Wananchi wanamuangalia na kumpima.
Wananchi wanao uwezo kuyapima haya na mengine na kufanya maamuzi. Wana uwezo wa kuyapima yanayosemwa na wasomi wakayadharau au kuyaheshimu. Mimi nahudhuria mikutamo ya kampeni. Kuna kudanganyana kwingi. watu wanashangilia sana na ukikutana na aliyeonekana kupagawa kwa kusema Pipoooz atakwambia kitu kisichoelekea kufanana na kushangilia kwake.
Lakini zaidi ukijiambia ukweli watu waliohudhuria mikutano ya kampeni ni chini ya robo ya wapiga kura. Hawa wasiohudhuria wanawaza nini? Hao mimi nimejaribu kukutana nao. Wengine usipokuwa mwangalifu wanatatanisha. Wengine hawakusudii kupiga kura. Ukiwaelimisha wanaamua kupiga. Wale nilioongea nao nimehakikisha watampigia Magufuli wala siwaelekezi wachague ila nawaambia sababu za kumchagua Magufuli licha ya kutoka CCM iliyoharibika.
Matokeo ya TWAWEZA yamekutana na hao pia
Ni vizuri kama kuna mtu ana anachokiamini ahakikishe amejieleza watu wamemuelewa. Tukikaa na kushindana na matokeo ya TWAWEZA tutakuja kushindana na matokeo ya NEC na kuanza kuikimbilia ICC ambayo wala haitatusaidia. Watanzania wana akili kubwa sana kuweza kututafsiri. ni rahisi sana kujua kuwa huyu anatetea ukanda. huyu anatetea kishabiki. Huyu anaichukia CCM au CHADEMA. watanzania wanao uwezo wa kuyapima hayo niliyoyaandika katika 1) na 2) hapo juu na kumuamini anayestahili kuaminika. Ni vibaya kabisa mtu kuwa na wazo halafu ukasema na kufikiri watu wataangalia unachosema. wapo wanaoweza kulijua unaloliwaza. Hii ndiyo sayansi inayowashinda 'wasomi'. Nadhani kwa kelele ninazoona humu. kelele za kukataa ukweli ulio wazi watu wataishia kwingine. Tunasubiri kukiona tunachokiona kwenye taarifa ya TWAWEZA. Kama hatutaki basi mkakati ni kuwafuata wasiofika mikutanoni ambao ni mtaji mkubwa wa CCM. Samahani kwa kutoa siri.
Elisa muhingo
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments