https://groups.google.com/forum/m/#!topic/wanabidii/8FAT9TCFStg
Katika maisha yangu nilikiamini sana chadema kama chama chenye mlengo mzuri kuwakwamua watanzania kutokana na sera zake ikiwemo ya kupiga vita rushwa na kukemea ufisiadi, lakini leo kimegeuka kinara wa rushwa na kukumbatia mafisadi ilihali tu wanataka ikulu kwa nguvu zozote hata kama ni za shetani kwa mujibu wa Tundu Lisu. Chama hiki kimepoteza mwelekeo na kwa sasa naona ni heri ccm kuliko ukawa kwa asilimia 100%. Wanataka ikulu kwa nguvu ili iweje? Inabidi tuwapime na mwisho tufanye maamu ya busara kwani staili ya ikulu haiwafai kundi kama ukawa ambao wamekaa kama magoli kipa ili kudaka mpira wowote hata kama ni wa nje.
Sent from my Sony Xperia™ smartphone
--Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments