[wanabidii] NILIKUWA NAMFAHAMU MBATIA? AU NDIYO NAMFAHAMU SASA?

Wednesday, September 23, 2015
Nilipokuwa nafanya kazi mbeya niliwahi kuambiwa na mzee mmoja kuwa ukitaka kumtambua mtu kuwa huyu ni mwanamme kiukweli mpe pombe akalewe kwanza. Hapo utajua kama akilewa anajiheshimu, anabwatuka hovyo au anakuwa na tabia gani (mengine sisemi maana sitaki kuhusishwa na mjadala fulai unaoendelea humu). Ninaweze kurahisisha mfano kwa kuwa mtu anaweza kujua kama anaendelea na utu wake akichokozwa.
Ninaendelea kumsikiliza Mheshimiwa James Mbatia akiongea na waandishi wa habari. Yako mambo ya ajabu ambayo nimemsikia akiyaongea.

1) Midahalo:
Mmbatia anasema midahalo inabidi ifanwe baina ya viongozi wa vyama vya siasa na si wagombea. Mtu ukijiuliza haya: Vyama vimeandaa ilani za Uchaguzi. baadaye Ilani hizo zikakabidhiwa kwa wagombea ili wainadi. Lakini tunajua wote kuwa kama ni kuiga hata midahalo hii tukiifanya tutakuwa tunaiga. Tunaweza kuanzia Kenya katika uchaguzi waliomaliza karibuni. Tunaweza kuangalia marekani wakati huu Iweje badala ya kuwakutanisha wagombea badala yake tuwakutanishe wengine? mwaka 2005 nakumbuka CCM kumzuia Mgombea wake JK asishiriki midahalo. Tulijua kuwa alikuwa mdhaifu wa hoja na hii ni kweli. kweli kabisa. lakini bado CCM haikutaka kuleta watu wasiohusika na utekelezaji wa ilani. Sasa mbatia anaweza kutweleza mgombea wa UKAWA ana shida gani? kama ana shida kwanini walimuweka?

2) Hoja ua UDINI:
Mgombea lowasa anasemekana kuingia Kanisani na kusema maneno mawili a) naomba mniombee 2) Mnichague mimi ili zamu hii tuwe na Rais Mlutheri
Mbatia katika kurusha shutuma anaishutumu CCM kwa kutumia a) hapo juu tu na kuiacha pembeni hoja hasa ya ULUTHERI. najiuliza anafikiri watanzania hawakumbuki kilichosemwa au? Hajui kuwa bila kujibu hoja anakuwa amebakiza maswali ambayo wapiga kura ndiyo watakayotumia kule chumbani?

3) Ukanda/ukabila:
Ni kweli watu wanaongelea CHADEMA kuwa chama kinachokumbatia ukanda. Wanaosema hivyo wanazingatia kinachoonekana yyni nguvu kubwa wanayoikusanya kwa kuwaweka pamoja watu wa kaskazini yaani mbatia, mbowe, Sumaye lowasa ongeza. Hata humu mtandaoni utakuta wanaounga mkono kila kinachopendelea UKAWA utanusa ukanda. badala ya kujibu hoja ili kujisaisha anawashambulia wanaosema bila kusema wanasema nini.

4) Kuhatarisha amani:
Mbatia kwa maelezo yake unaweza kusema labda matokeo ya uchaguzi yameishatangazwa na CCM inakataa kukabidhi madaraka. Anaonyesha jinsi watanzania walivyokwishaamua kufanya mabadiliko kupitia UKAWA. Haonyeshi kuamini kuwa jambo tofauti linaweza kutokea. Naamini mkutano huu aliokuwa nao haukuwa mkutano wa kampein. maana yake alistahili kuwa lialistic. Mimi nikaanza kuwa na wasiwasi kuwa ikitokea matokeo yakawa kinyume mbatia anaweza kuwa mmoja wa watakaoongoza ghasia.
Wakati fulani humu niliwahi kumtaja Mbatia kama mmoja wa viongozi wanaoweza kuliongoza taifa hili. Kuna wakati niliwahi kumsikia akisema '----- vyama hivi vinavyojiita vilipigania uhuru' Neno hli lilinishtua nikasema huenda lilimponyoka (tongue slip). Mkutano wa leo na waandishi wa habari umenifanya nijiulize kama nilikuwa namfahamu au sasandio naanza kumfahamu.

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   Kujiondoa Tuma Email

 kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya

   kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

   Everyone

 posting to this Forum bears the sole

 responsibility

   for any

 legal consequences of his or her postings, and

  hence

  statements and facts must be presented responsibly.

  Your

  continued membership signifies that you agree to this

   disclaimer and pledge to

 abide by our Rules and

  Guidelines.

   ---

   You received this message

 because you are subscribed to

  the

   Google Groups

 "Wanabidii" group.

   To

 unsubscribe from this group and stop receiving

  emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

   For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences

 of his or her postings, and hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

  continued membership signifies that you agree

 to this

  disclaimer and pledge to abide by

 our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You

 received this message because you are subscribed to the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this

 group and stop receiving emails

  from it,

 send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences

 of his or her postings, and hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

  continued membership signifies that you agree

 to this

  disclaimer and pledge to abide by

 our Rules and

  Guidelines.

  ---

 You received this message because you are subscribed to

 the

  Google Groups "Wanabidii"

 group.

  To unsubscribe

 from this group and stop receiving emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send

 Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to

 this Forum bears the sole responsibility for any legal

 consequences of his or her postings, and hence
statements

 and facts must be presented responsibly. Your continued

 membership signifies that you agree to this disclaimer
and

 pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message

 because you are subscribed to the Google Groups

 "Wanabidii" group.

 To unsubscribe

 from this group and stop receiving emails from it, send
an

 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments