Ukakasi wa twaweza
FINDINGS ZA TWAWEZA ZINA UKAKASI.
-Watu waliohojiwa ni 1,848.
- Idadi ya wapiga kura mil.24
- Wastani 1:14,000
-Yani mtu mmoja anawakilisha maoni ya wapiga kura 14,000.
KASORO: Twaweza wameonesha hawapo serious. Huwezi kutumia sample size ya watu elfu moja kuwakilisha maoni ya watu milioni 24.
WAGOMBEA WANAVYOKUBALIKA;
-Magufuli 65%
-Lowassa 25%
-Wagombea wengine 10%
-Ambao hawajaamua 07%
-JUMLA 107%.
KASORO: Asilimia za utafiti zimezidi 100.! Fabricated data.
WWAGOMBEA WANAVYOUNGWA MKONO NA MAKUNDI YA WATU;
-Lowassa - Vijana
- Magufuli - wazee
- Wagombea wengine -Vijana &wazee
- Lowassa - Wasomi
- Magufuli - Wasiosoma.
- Wengine - wasomi &wasiosoma
KASORO: Twaweza wanatuambia moja ya njia zilizotumika kuwafikia wapiga kura ni simu. Sasa jiulize kati ya vijana na wazee kundi lipi linamiliki simu zaidi. Na kati ya wasomi na wasiosoma nani anafanya mawasiliano ya simu zaidi?
Twaweza wanatuambia kwamba wazee wako "active" kwenye simu na mitandao ya kijamii kuliko vijana. Na wasiosoma wanatumia simu zaidi kuliko waliosoma. Halafu wazee nchi hii ni wengi kuliko vijana? Hiki ni kichekesho.
Nadiriki kusema huu ni utafiti wa "hovyo" zaidi kuwahi kufanyika nchini
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/1442941804.97130.YahooMailBasic%40web163905.mail.gq1.yahoo.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments