Team Team Wageni muwe na Nidhamu kwa Viongozi wa Mliowakuta Chadema.!
Hili kundi ni la ajabu kweli linatukana kila kiongozi wa Chadema anaehoji au kupingana na misimamo yao. Hususani katika mitando ya jamii
Ni kundi lenye nguvu na ushawishi mkubwa sana, na Vijana wa Chadema bila kujijua wamesombwa na mafuriko ya kundi hili kiasi cha kukashifu viongozi wao waliokuwa pamoja kwenye jua na mvua usiku na mchana.
Ni kundi lisilo na uchungu na Chama, lenyewe linawaza madaraka tu, halijui miiko, misingi, itakadi wala taratibu za Chama.
Ni kundi linalowaza madaraka tu, lina uchu na tamaa ya madaraka bila kujali yatapatikana kwa njia gani au kwa kumwathiri nani.
Halina msimamo, wala halijali kitu asubuhi litakusifia jioni litakuponda halina uvumilivu wa kisiasa.
Limeua slogan zote za CHADEMA , sasa hivi huwezi kusikia nguvu ya uma, M4C wala kukemea ufisadi ...... Hili kundi limeua slogan ya Chadema safari ya uhakika, sasa hivi wote tunaimbishwa safari ya matumaini Na Lowassa tu.
Muda sio mrefu tutaona rangi halisi ya kundi hili, wale waliosombwa na mafuriko ya kundi hili watajikuta wako kondeni mithili ya takataka zilizosombwa na maji... na maji yamekauka.
Nawaasa Team wageni japo mmekaribishwa mpaka Chumbani muwe na nidhamu kwa wenyeji wenu.!

0 Comments