[wanabidii] KIJANA DAUDI MRINDOKO ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE MOSHI MJINI

Saturday, July 18, 2015



KIJANA DAUDI MRINDOKO ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE MOSHI MJINI

Moshi Mjini Kumekucha Kijana  Daudi Mrindoko achukua Fomu ya ubunge 2015 kwa tiketi ya CCM



Moshi,Kilimanjaro,

Kijana Daudi Mrindoko aliyekuwa anashawishiwa na wakazi wa jimbo la Moshi mjini kugombea ubunge wa jimbo hilo.,Siku ya ijumaa 17 Julai 2015  mshawishiwa huyo Daudi Mrindoko alifika ofisi ya CCM wilaya Moshi Mjini na kukabidhiwa fomu ya kugombea Ubunge kupitia ticketi ya CCM.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments