TUNDU LISSU wakati akimnadi mgombea udiwani Kata ya Sombetini akasema, Lowassa baada ya kukosa sifa ya kuwa kiongozi kutokana na kutokuwa mwadilifu, hivi sasa anatumia udini kwenda makanissni kwenda kuwatumia viongozi wa dini kumuombea kura, leo akina Tundu lissu wamerudisha kichwa ndani kama kobe na kwa sababu macho na masikio vyote viko kwenye kichwa, basi hawaoni wala hawasikii, leo wako meza moja.
Juzi Mabere Marando baada ya Lowassa kuchukua fomu akasema wana mengi kumhusu Lowassa ila wameamua kukaa kimya kwanza na kwamba kazi ambayo ingefanywa na UKAWA kuhusu Lowassa inafanywa na Paul Malonda na Nape Nnauye.
NCHII TUMEFANYWA.MABWEGE KWELIKWELI. UKAWA wameshindwa kumpata mgombea ursis tena bila aibu wanasema BADO HAWAJAKUBALIANA KUHUSU MGAWANYO WA MADARAKA, MADARAKA, MADARAKA wakishinda uchaguzi mkuu. NCHI YA KISANII HII.SASA kuna lugha , kwenye chama fulani tatizo siyo mtu, bali mfumo. Kwa maana hiyo Slaa, Mbowe au Mbatia akienda huko atakubali kuwa fisadi sababu tatizo siyo yeye bali mfumo? Maneno ya kisanii sanii tu.
NIMALIZIE KWA HERUFI KUBWA, HIVI LOWASSA KUWA LULU NA KWA MAANA HIYO ROSTAM NI KWELI WAKIWA HUKO NI WASAFI? CHADEMA WANATAFUTA KURA? NI UKANDA? AU NI USANII?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments